Guardiola ashitakiwa Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameshitakiwa na Chama cha Soka nchini England kwa kuvaa nguo yenye 'Ribbon' ya njano inayodaiwa kubeba ujumbe wa kisiasa kitu ambacho hakiruhusiwi michezoni. Read more about Guardiola ashitakiwa