Waziri Mwigulu afanikiwa hili
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dk Mwigulu Nchemba amefanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi ambao umedumu kwa miaka zaidi ya tisa ambao ulifikia kuhatarisha amani ya kijiji cha Hurui jimbo la Kondoa vijijini wilaya ya kondoa mkoa wa Dodoma.