"Hii ni dunia nyingine"- Papii Kocha
Mtoto wa msanii nguli wa muziki wa dance, Papii Kocha amefunguka na kudai maisha ya uraiani ni sawa na dunia nyingine kwani mtu akiwa anatumikia adhabu ya kifungo gerezani, huwa vitu vingi vizuri anashindwa kufanya ama hata kushiriki kabisa.

