"Mimi sina bei " - Kubenea Mbunge wa CHADEMA jimbo la Ubungo Saed Kubenea, amekanusha juu ya kauli zinazomkabili zikisema anahama chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Read more about "Mimi sina bei " - Kubenea