Lowassa atajwa kuwa mmiliki wa CHADEMA
Mbunge wa Geita, Joseph Msukuma amesema kwamba viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wanapiga kelele kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Lowassa kwenda Ikulu lakini hawana mabavu ya kumfukuza uanachama kwani yeye ndiye mwenye chama.

