Wenger aweka wazi kuhusu Aubamayeng Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema usajili wa nyota wa klabu ya Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang, hauko kwenye hatua nzuri za kukamilika na ataendelea kutumia washambuliaji waliopo. Read more about Wenger aweka wazi kuhusu Aubamayeng