Kilimanjaro Stars yafundishwa mbinu mpya Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ Ammy Ninje amesema anafurahishwa na mwenendo wa mazoezi ya timu yake ambayo yanatoa taswira ya kufanya vizuri kwenye mchezo ujao. Read more about Kilimanjaro Stars yafundishwa mbinu mpya