Singida United yafichua siri Baada ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar klabu ya Singida United imefichua siri kuwa haikuwa rahisi kwa wao kushiriki michuano hiyo pamoja na kuonesha nia hiyo mapema. Read more about Singida United yafichua siri