Siamini Madrid bila Ronaldo - Zidane Baada ya kuwepo kwa habari nyingi kuhusu Ronaldo kutaka kuondoka Real Madrid, hatimaye kocha wa mabingwa hao wa Hispania Zinedine Zidane amesema nyota huyo hataondoka. Read more about Siamini Madrid bila Ronaldo - Zidane