Real Madrid haijiamini tena - Zidane Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema timu yake inashindwa kupata matokeo kwasababu imepoteza hali ya kujiamini uwanjani. Read more about Real Madrid haijiamini tena - Zidane