Dereva wa Heche akutwa amefariki

Amani Golugwa (katikati) Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kwa masikitiko kifo cha Suez Dani Maradufu, ambaye alikuwa dereva wa Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS