DP World kuleta mageuzi makubwa bandari ya Dar
Serikali ya Tanzania inatarajia kuingia makubaliano na kampuni ya Dubai ya DP World ya kuweka uwekezaji binafsi kwenye bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi na kiwango cha mizigo inayopita kwenye bandari hiyo.