Kampuni za uzoaji taka hazina uwezo - Mpango
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Philip Mpango amesema baadhi ya kampuni za uzoaji taka hazina uwezo wakufanya shughuli hiyo kwakua bado maeneo mengi ya nchi yamechafuliwa na takataka hasa za plastiki hali inayohatarisha maisha ya watu, viumbehai na kuharibu vyanzo vya maji