BBT Mifugo kuwezesha vijana nchini
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kufuatia Mkoa wa Tabora kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo hapa nchini wamepanga kuanzisha programu kabambe ya BBT Mifugo itakayowawezesha vijana kunenepesha mifugo na kuufanya mkoa huo kuwa kinara na lango kuu la kuuza nyama