Msigwa akanusha ndege ya Tanzania kukamatwa
Serikali imekanusha taarifa za upotoshaji zilizotolewa na mtandao wa myflylight.com kuhusu ndege ya mizigo ya ATCL aina ya Boing 767-300F kukamatwa ikiwa na inasafirisha shehena ya mizigo haramu ambayo haijafuata taratibu za kiforodha.