Waziri aeleza bangi kuchanganywa kwenye vyakula
Licha ya serikali kuweka juhudi za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya kumeibuka tabia ya kuchanganya bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi kwenye vyakula kama vile biskuti, asali, juisi, majani ya chai na keki.