CHADEMA yanena
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa maoni yake baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kufuta matokeo ya Urais na kutaka uchaguzi urudiwe, huku ikiishauri serikali kuiga mfano wao kwa kurudisha mchakato wa Katiba ili kupata Katiba mpya.