Naibu Waziri wa Ardhi atoa agizo
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabulla ameziagiza Halmashauri zote nchini kupima maeneo yao na kuyapangia matumizi ya makazi na huduma za jamii ili kuepuka migogoro inayoibuka kila siku.