Ummy ataka afya ipewe kipaumbele
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amewaeleza Mawaziri na washiriki wa mkutano wa nne kuwa sekta ya afya inamahitaji makubwa kwa nchi zinazoendelea ili iweze kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto.