Magufuli hajaridhishwa vita dawa za kulevya
Rais John Magufuli ameelezea kutoridhishwa kwake na taratibu za uchunguzi na uendeshaji wa mashitaka ya rushwa zinavyochukua muda mrefu na ametoa wito kwa viongozi wa TAKUKURU kufanyia kazi vita dhidi ya rushwa na ionekane ikizaa matunda haraka.