"Vijana wamewezeshwa kujiajiri nchini" - Ulega
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewahimiza Mawaziri wa Nchi Wanachama wa EAC wanaosimamia kilimo, chakula, uvuvi na ukuzaji viumbe maji kushirikiana na sekta binafsi kuongeza uwekezaji katika sekta hizo ili kuimarisha usalama wa chakula na kukuza uchumi.