Dkt. Kigwangalla atoa agizo zito
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla anatarajia kuvishusha hadhi vituo vya afya sita vya jiji la Arusha na kuwa Zahati baada ya kubaini mapungufu makubwa waliyonayo.