Mabalozi wapewa changamoto kuongeza watalii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kushirikiana na makampuni ya mawakala ya utalii katika nchi husika kuwaleta watalii nchini ili kuifikia azma ya kuwaleta watalii milioni tano ifikapo 2025