Kikwete akusanya bilioni 1.6 GGML Kili Challenge
Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameongoza uzinduzi wa harambee ya kampeni ya GGML Kili Challenge yenye lengo la kukusanya Sh bilioni 2.3 kwa ajili ya mapambano dhidi VVU na Ukimwi ambapo katika harambee ya uzinduzi Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh bilioni 1.6) zimepatikana