Yanga yapongezwa, "Ni jitihada za uzalendo"
Timu ya Yanga nchini, imepongezwa kwa kazi kubwa ya kujituma na kuiletea heshima Tanzania kimataifa kwa kuifunga timu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwa goli 2-1 kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika na kutinga fainali, jitihada hizo zinatambulika kuwa ni Uzalendo wa hali ya juu.