Mkurugenzi wa Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Bi Adelaide Salema
Makumbusho ya Taifa la Tanzania inaendeleza juhudi yake ya kushirikiana na wadau mbalimbali katika uhifadhi wa urithi wa utamaduni hasa uliombioni kupotea kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.