"Tupo vizuri kwenye kupima uzito wa deni"-Kafulila
Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema msukumo wa kuunda taasisi hiyo ulitokana na kuwepo kwa mikataba mibovu kati ya serikali na sekta binafsi.