Mbwa wazua hofu Ilemela, wanakula mifugo Wakazi wa kisiwa cha Bezi kilichopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza wamekumbwa na hofu kutokana na kusambaa kwa mbwa ambao wamekuwa tishio kwao na kwa mifugo wanayofuga kama mbuzi na bata Read more about Mbwa wazua hofu Ilemela, wanakula mifugo