Wasafirishaji wakataa kanuni za LATRA
Baadhi ya wadau wa usafirishaji kutoka kanda ya kaskazini wameitaka mamlaka ya usafiri wa ardhini nchini LATRA kubadili kanuni mpya za usafirishaji za mamlaka hiyo zinazotarajiwa kupitishwa kutokana na baadhi kutokuwa rafiki kwa wafanyabishara wa sekta hiyo ya uchukuzi