Wananchi walia tembo kuwasababishia njaa

Wananchi wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameiomba serikali iwapatie chakula cha msaada bure kwani kwa sasa wana adha kubwa ya njaa iliyosababishwa na Tembo kula mazao yao yote shambani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS