Changamoto ya watoto njiti,UN watoa takwimu.
Umoja wa Mataifa umesema takribani mtoto mmoja kati ya 10 huzaliwa kabla ya wakati wake duniani kote na karibu mtoto mmoja kati ya 13 kati yao hufariki kutokana na matatizo yanayosababishwa na kuzaliwa kabla ya wakati.