TAKUKURU yabaini upotevu mapato Kagera
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imebaini upotevu wa mapato ya Serikali katika minada ya mifugo, ambao unatokana na kuwepo kwa usimamizi usio imara kwa wafanyabiashara, ambao unasababisha kutotozwa ushuru unaolingana na idadi ya mifugo