Bernard Membe azikwa Rondo
Mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo umezikwa nyumbani kwake Chiponda Rondo mkoani Lindi huku baadhi ya viongozi wa sasa na waliostaafu wakizungumza kwa namna tofauti tofauti walivyomfahamu mwanadiplomasia huyo.