Polisi Iraq ahukumiwa Kifo Polisi huko Iraq amekutwa na hatia na kuhukumiwa kifo kwa mauaji ya mchambuzi mashuhuri wa masuala ya usalama na mkosoaji wa mara kwa mara wa wanamgambo wenye nguvu. Read more about Polisi Iraq ahukumiwa Kifo