Muigizaji mkongwe Mzee Onyango afariki dunia Picha ya Mzee Onyango Muigizaji Mkongwe Mzee Onyango amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, jijini Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 70. Read more about Muigizaji mkongwe Mzee Onyango afariki dunia