Urusi kulipa kisasi,Marekani yahusishwa.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema shambulizi la ndege isiyo na rubani katika ikulu ya Urusi, Kremlin, kilikuwa "kitendo cha uhasama" na nchi hiyo itajibu kwa kuchukua hatua madhubuti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS