Polisi Mwanza waanza msako wa vibaka

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limetangaza doria maalum ya kuwakamata na kuwaondoa katikati ya jiji hilo pamoja na kwenye vituo vya daladala vibaka wote wanaopora simu pamoja na wanaoshirikiana nao kuflash simu wanazoiba ili kuhakikisha wakazi wa jiji hilo wanaishi kwa amani

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS