Mafuta yanayoingia kupitia Dar yapanda bei
Bei ya mafuta ya petrol na dizeli yanayoingia kupitia bandari ya Dar es Salaam imepanda ikilinganishwa na Aprili ambapo petroli itauzwa Sh2,871 mwezi huu ikilinganishwa na Sh2,781 ya Aprii huku dizeli kutoka Sh2,847 Aprili hadi Sh2,871 mwezi huu sawa na ongezeko la Sh24