Rais Samia aahidi neema kwa wafanyakazi nchini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali imejiandaa kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi nchini ikiwa ni pamoja na kuwapandisha madaraja na vyeo wafanyakazi nchini Read more about Rais Samia aahidi neema kwa wafanyakazi nchini