Risasi zarindima Ujerumani mtu mmoja afariki. Taarifa za Jeshi la polisi nchini Ujerumani zimesema Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi kwenye kiwanda cha Mercedes Benz nchini Ujerumani. Read more about Risasi zarindima Ujerumani mtu mmoja afariki.