Gor Mahia mabingwa SportPesa Super Cup
Hatimaye fainali za michuano ya SportPesa Super Cup zimemalizika jioni ya leo huku timu ya Gor Mahia kutoka Kenya ikuchukua ubingwa baada ya kuitandika AFC Leopard kwa mabao 3-0 katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.