Theluthi moja ya wakazi wa Sudan wakumbwa na njaa

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetahadharisha juu ya mapigano yanayoendelea nchini Sudan. Shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema vurugu hizo zinaweza kuzitumbukiza nchi zingine za eneo la Afrika Mashariki katika mgogoro mkubwa wa kibinadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS