Rais Samia amewaunganisha watanzania - Dkt. Biteko

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuwaunganisha watanzania katika Sekta zote nchini ili kuhakikisha wananufaika na rasilimali mbalimbali

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS