Asimamishwa kazi kwa kupeleka mganga shuleni
Vitendo vya ushirikina na kupiga ramli chonganishi vimesababisha mkuu wa shule ya Sekondari Imenya Kata ya Itwangi Halmashauri ya Shinyanga Seleman Karavina kusimamishwa kazi kutokana na kupeleka mganga wa kienyeji shuleni na kupiga ramli chonganishi.