Serikali yafuta kodi vifaa vya wenye ulemavu
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema kuwa serikali inatoa msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na ushuru wa forodha kwenye vifaa vilivyotengenezwa mahsusi kwa ajili ya watu wenye mahitaji maalum