Nikki ajitosa kwa Rais JPM Nikki Mbishi Rappa, Niki Mbishi amemtaka Rais John Pombe Magufuli kutupia jicho katika mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART) kwamba kama asipofanya hivyo kuna uwezekano mkubwa mradi huo ukafa bila kutimiza malengo yaliyokusudiwa. Read more about Nikki ajitosa kwa Rais JPM