Ethiopia yachua nafasi ya Mali AFCON ya U-17

Timu ya vijana ya Mali ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON imeondolewa katika michuano hiyo na badala yake Ethiopia itashiriki katika fainali hizo ikiwa kundi B pamoja na timu ya taifa ya vijana ya Tanzania “Serengeti Boys”

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS