AUDIO: Mke amuua mume
Mwanaume mmoja (50) mkazi wa Ukerewe mkoani Mwanza amefariki dunia wakati akikimbizwa hospitali baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni upande wa kushoto na mkewe, mkewe (25), huku mkewe akijeruhiwa vibaya sehemu za mikono na tumboni.

