Kombe la Shirikisho Barani Africa (CAF).
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga wanashuka dimbani hii leo katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika dhidi ya Mouloudia Club Alger ya Algeria.