VIDEO: Nyandu Tozi awaponda Weusi Msanii Nyandu Tozi kutoka B.O.B Micharazo Msanii Nyandu Tozi kutoka B.O.B Micharazo amefunguka kwa kuwaponda kundi la Weusi kuwa hawana mafanikio yoyote waliyoyapata katika maisha sababu bado wanaishi katika nyumba za kupanga. Read more about VIDEO: Nyandu Tozi awaponda Weusi